On behalf of the Government and the People of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt congratulations to His Excellency Cyril Ramaphosa, on being once again entrusted by the people of the Republic of South Africa with a responsibility to lead them as their President. Tanzania and South Africa are sister Republics. I am looking forward to continue working with you in further strengthening the deep fraternal bonds and historical ties between our two countries and peoples.
Tumefungua rasmi mradi wa Maji Kigamboni unaofanya upatikanaji wa maji Dar es salaam sasa kuwa asilimia 100. Uhaba wa maji unatokana na mabadiliko ya tabianchi lakini pia na sisi wananchi, kwa kuchepusha maji na kufanya shughuli za kibinadamu katika vyanzo vya maji. (1/4)
@rose_mayemba Kwa maana nyingine ni kwamba unaunga mkono wafanya biashara wasilipe kodi???Hivi kuna ubaya gani agent wa mamlaka ya mapato kusimamia kilicho cha TRA. Kazi ya watumishi wa TRA ni kukusanya mapato.Anakaa position gani kukusanya na kusimamia mapato kwa ufanisi inakukera nini wewe?
@rose_mayemba Chama dola kujimilikisha serikali ni tendo halali la kikatiba. Usichanganye vitu.Nchi ni yetu sote lakini serikali ni ya CCM na huo ndio utaratibu.Kwahiyo kaa kwa kutulia CCM iongoze serikali yake kwa kadri inavyoona inafaa pasipo kuvunja sheria.Waelimishe na wenzio.
@rose_mayemba Tamko lako ni matokeo ya siasa pasipo elimu. Chama dola kujimilikisha serikali ni tendo halali la Kikatiba. Chama kinachoshinda uchaguzi,kinaunda serikali na kuongoza serikali. Na hii serikali iliyoko madarakani ni serikali ya CCM hiyo ni utake usitake maana ni kikatiba.
@rose_mayemba Wanasiasa wapumbafu aina hii ni msiba mkubwa kwa https://t.co/IKOkvSkyQK hii ndio inaonesha vyama vingi viliwahi kabla ya wakati,ilibidi watu wafute ujinga wa mapangoni kwanza. Unashawishi kuvuruga sensa kwa faida na hasara ya nani.Watu kama ninyi mnastahili adhabu kali sana sana
Nawapa Pongezi Timu ya Taifa ya Soka la Wanawake chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2022. Hongera kwa benchi la ufundi na wote waliochangia kufikia hatua hii. Mmeweka historia kubwa na adhimu kwa nchi yetu. Ninyi ni fahari ya Watanzania.
Alizaliwa Magu, akasoma Nyegezi Seminary na Mzumbe kisha akajiunga na jeshi. Akapata mafunzo nchi nyingi mfano Canada na USA na akatumikia nafasi nyingi jeshini na kupewa Medali 10. Mkuu wa Majeshi Jenerali Mabeyo anastaafu rasmi mwezi huu baada ya kulitumikia Jeshi kwa Miaka 43.
@HildaNewton21 Tunaathiriwa na vita indirect mfano Tz inapata mafuta kwa A? A analangua kwa B ? B amepunguza usambazaji wa mafuta,ni lazima A apungukiwe na sisi tuathirike. Au kama ni ya A mwenyewe na B kaacha kusambaza .Demand ikiwa kubwa kwa A bei inapanda kwetu maana A analisha wengi.
@Oleshangay@TitoMagoti@MariaSTsehai Hapo ndio mtajua (law is not just) . Sheria inatungwa na watu walio wadhaifu na zina mapungufu. Kujaribu kutenganisha watu na ardhi za asili yao ni kiloja . Ni sawa na kusema samaki makazi yao sio baharini.Anyway kuna tofauti ya Rais na mhe Rais. Kimoja ni tasisi kingine ni mtu.
Heri ya siku ya kuzaliwa mhe.Rais @SuluhuSamia Nakutakia afya njema,maisha marefu,furaha na amani.Zaidi ya yote namuomba Mungu azidi kukujaalia maono mema ya kutuletea watanzania maendeleo na maisha bora.Mungu akubariki,Amina.
@HildaNewton21 Jifunzeni kutoa ushauri,la kaa kimya acha wazalendo wapuyange kivyovyote kwa nia njema ya kusaidia taifa.Maduka ya madaktari kuwa mbali sio suluhisho madhubuti lkn ni suluhisho nafuu.Bora suluhisho nafuu kuliko bila bila.Ameanza na hilo,mbeleni atapata wazo bora zaidi.