@ChademaTz Watu kutoa maoni yao na kutaka haki itendeke huwezi kuiita ni kelele za mitandaoni. Acheni ushamba wa kisiasa. Na kwa taarifa yenu CHADEMA mwisho wenu ni huu hapa. Kwa upuuzi huu @ccm_tanzania itawale milele.
@Ntobi_@rose_mayemba Ntobi mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini nilichogundua huna kauli nzuri zinazotoka kwenye kinywa chako. Watoto wako wakija kuona hizi tweet zako watajilaumu sana na baba wa sampuli yako. Badilika ndugu.