Mshikaji wangu alikopa 550K kwenye yale mashirika yanayotoa mkopo na aliweka cheti cha 4m4 kama Bond na riba ni ongezeko la 5K kila siku ila itaanza kuhesabiwa baada ya wiki mbili endapo utakuwa hujalipa hela ontime tunavyoongea mpk sasa mwana anadaiwa zaidi ya 2.2M😂😂😂
mtu anakucheki anakuulizia bei ya bidhaa unamwambia eti anasema ngoja tu nichukue sehemu fulani bei ni ndogo fvck ungejua bei ni ndogo huko usingekuja kuulizia kwangu
Ukiwa bado masikini ndio utaona kama kuhonga wanawake ni ujinga , subiri ujipate uwe tajiri kwanza ndio utajua kua moja ya matumizi sahihi ya pesa ni kuhonga mademu wazuri ili uwatumie utakavyo 😎 .
Pale unapohisi kwamba umeshindwa kufanya jambo fulani au lipo nje ya uwezo wako ndipo Mungu anajiinua kwako na kufanya uwezekano wa hilo jambo.
Good morning family.