@MsBrown_Tz Kwa hyo kama niwe boda wa kawaida nisiseme changamoto zao wao wenyewe wanatutegemea sisi mishahara yao faida ya kampuni sie ndo tunawapa wafunge basi alafu tuone wateja watapataje bila sisi kinachotskiwa wapunguze miofa yao hizo ofa wawe wanawatumia wao kwenye sim zao
@JonMrema Kwa hiyo mchikue urais kwa watu hawa alafu mgombea wako wa urais yupo mnachekesha sana chama bado kichanga sana mlikurupuka uroho wa madaraka mliona mtatoboa kumbe mnajichimbia kisiasa