Moja ya mafanikio makubwa ambayo tumeyapata ni kuwafikia wakulima zaidi ya 1,000 katika mikoa wa Mbeya na Songwe.
Katika maonyesho ya NANENANE kwa mwaka 2024 pia tumeweza kuwakutanisha wakulima na wadau mbalimbali wa kilimo ili kuboresha kilimo chao.
Maonyesho ya wakulima ya NANENANE yamefanyika Mkoani Mbeya kwa kuwaonyesha wakulima kwa vitendo namna ambavyo kilimo kinaweza kuboreshwa kwa kutumia teknolojia rahisi.
Aidha, Wadau mbalimbali wa kilimo wameandaa mafunzo haya katika mikoa ya Mbeya, Songwe na Ruvuma
Msingi mkubwa wa maendeleo ya kiuchumi katika Taifa lolote duniani ni nguvu kazi ya vijana. Vijana wanatakiwa kubadilika ili kuwa chachu ya maendeleo katika Mataifa yao.
Sherehe za mahafali ya 15 ya darasa la saba katika shule ya msingi LAKE NUSERY AND PRIMARY SCHOOL (ENGLISH MEDIUM). Bado naendelea kushukurukwa kuaminiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali hiyo.
Naendelea kujifunza na kupata changamoto zenye kunijenga katika utekelezaji wa majukumu