Pastor’s lifting up President Donald Trump in prayer is a blessing. One reason it is a blessing is because President Trump invites the pastors to pray for him.
Philippians 4:6
“In everything by prayer and supplication with thanksgiving let your requests be made known to God.”
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.
Kwangu hakutapungua Kicheko, Furaha, Amani, Utele. Hakutakuwa na kulala njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula Vinono maana Nimebarikiwa na BWANA.
Haleluya, YESU ni Mzuri.
NAIBARIKI JUMANNE YANGU.
Nafurahi katika BWANA, ni Siku ya Familia. Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata.
Haleluya, YESU ni Mzuri.
Haijalishi mimi na wewe tunaheshimiana kiasi gani, nikiona unaandika pumba baada ya 29.10 kuna mawili (mute au tofali) wapo wengi wanao sapoti mfumo wameamua kukaa kimya, suala sio itikadi za vyama, tunazungumzia utu na ubinadamu. Tumuogope Mungu na tubakize hata aibu kiasi.
🎙️ Ahmed Ally 👇
“Ili kuwaziba midomo hawa mashabiki nyuma mwiko, nimefikiria mambo mawili, tuandae pambano letu la masumbwi tuwatandike au tuandae mechi ya boli tuwapelekee moto”
🎙️Ally Kamwe 👇
“Hujachoka kugawa utamu?”
Goma linaitwa NAKUPENDA ya kiswahili kabisa 😁@davido ft @scotts_maphuma kesho dude linaachiwa...plz tuwasupport hawa ma homeboy tupende vya kwetu waisa👊👊
Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests. Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.
Mimi NIMEBARIKIWA. Kwangu hakutapungua Kicheko, Furaha, Utele. Hakutakuwa na kulala njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula Vinono.
YESU ni Mzuri.
Bros.
Hii nayo kuelewa inakuwa kazi?
Haya ndio material ambayo huko mjini mnaoa kwa harusi kubwa na michango halafu ndoa haiishi miezi sita.
Ikienda mwaka basi mwanaume unaishi kwa uchungu na maumivu maisha yote.
Ladies were meant kuwa na aibu, mwanamke akiishiwa aibu na kujiachia namna hii ujue ni shida.
NAIBARIKI JUMANNE YANGU.
Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata. Maisha yetu yatakuwa Mazuri kwa kuwa TUMEBARIKIWA na BWANA.
YESU ni Mzuri.