#AppanaChezeaTigoPesaApp
Je unajua unaweza kununua au kumnunulia rafiki yako kifurushi kwa haraka zaidi kwa kutumia Tigo Pesa App?
Fanya hivyo na urudishiwe pesa au upate dakika na MB BURE!
Android >> https://t.co/Q5gjZ5Kwpe
iOS >> https://t.co/AieFzYkW7s
Msukuma ana nini na @TunduLissu Day after Day lazima amention jina lake wamepanga kumtumia au!
-Mara Lissu Shoga au anamahipsi Mara anataka mshahara Ukatwe! Mara anazurura Duniani! Kaja Upya na hoja pumba anapanda mandege Wakati Mgonjwa.
Guys nawaambia Msukuma ni Tetema.
"Niseme wazi kuanzia sasa hatutaruhusu wanyama hai kusafirishwa kwenda nje ya nchi na wale waliokuwa wanafanya biashara hiyo watafute njia nyingine," Kauli ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dk @HKigwangalla leo Bungeni(Februari 8, 2019)
Nini kimewasukuma watu ambao sasa wanatumia nguvu kubwa kumchafua @tundu_lissu ? Je walikuwa wapi kulaani kitendo katili alilotendewa na “watu wasiojulikana”? Na kwa ujumla wanafikiri matendo na maneno yao sasa yanatupa ujumbe gani kama si kwamba wako guilty? #ChangeTanzania