Mtadanja mbele ya kizimba cha mahakama nyieee... Mtu kama Kingai kawatesa sana wale watuhumiwa wenzake na Freeman Mbowe, lakini hawajawahi kukiri uongo.. Kingai leo saa 4 asubuhi hadi saa 12 jioni ameomba kwenda haja ndogo. Acheni kuonea watu.. Siku mkiburuzwa kortini mtaona moto