KHE ..MMEHAMIA KWENYE UTANGANYIKA SASA..
Tunaposema hamna akili tunakuwa tunamaanisha hamna akili kweli yaani!..Sasa mmebadilisa ajenda mnataka utanganyika?
Nyie si mliamua kuchochea fujo sasa mmepata dawa ya criminals na wafanya vurugu ! Au dawa imekuwa chungu sana hamuwezi kuinywa?
Yaani baada ya mambo yenu ya kupindua serikali kukwama , mambo yenu ya kuingiza criminals kuuwa watu kushindwa mmehamia kwenye utanganyika!.
Kwani wanetu huwa hoja zenu ni nini hasa? Yaani mmekuwa mnavurugwa kila siku mna ajenda mpya? Kwa hiyo sasa hivi hamtaki katiba mpya , hamtaki tume mpya ya uchaguzi na hamtaki kusaidiana na wanajeshi walikuwa wanawafuata DM mpindue serikali sasa hivi mnataka Tanganyika au vipi?
Sasa ni hivi yaani hivi vyote mnavyotaka hakuna hata kimoja mtakuja kukipata na hamnaga akili kwenye mambo yenu
Mlitegemea mchochee vurugu uchaguzi usifanyike na Rais asipatikane! Mlitegemea Rais atanunua uoga kutoka kwenu eti uchaguzi urudiwe!
Sasa mmekosa vyote! Kesho Rais anaapishwa na tunaanza safari nyingine ya miaka mitano!
Ila HAMNAGA AKILI KABISA
#KigogoMediaUpdates
@TwirwanehoMoise Ipo siku kitawaka mtakimbilia huku, tutaelewana tu tutakapokua tunawahifadhi kambini. Sasa hivi mmejisahaulisha kama huku ndo nchi ya makimbilio