Mheshimiwa Said Mshana, Balozi wa Tanzania nchini DRC ameshiriki katika Jukwaa la 17 la Wiki ya Madini nchini DRC katika Mji wa Lubumbashi. Katika Jukwaa hilo TPA ilitoa mada ya mchango wake katika sekta ya madini nchini DRC.
@chawenegbs Hongera sana Mheshiwa waziri kwa kuaminiwa tena na Mheshiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kupewa tena nafasi hiyo ili uweze kuchapa kazi. Mheshiwa Rais anakuamini.
Wkazi wa Boko Maliasili tuna kero kuu zifuatazo;
1. Uchafuzi wa Mazingira,