@Tommy548383201@privaldinho Bora mke wa pastor Tony, kwakuwa akili za wanawake tunazijua ni za kitoto sema yeye ni kindiki au kidundo.
Mwanaume hana msimamo. Ni MALAYA.
@ze_mandevu Hii ni njia ya kigogo yani kutoka mabibo mwisho kwenda mpaka royola na apo ni karibu na mabwani maeneo kati ya miembeni au msikitini kituo cha daladala
Asante.