@twinaomukama@TheChanzo Sisi waislam wa Zanzibar hatujawahi kutaka muungaano na Tanganyika. 99.9% ya Wazanzibari hatutaki muungano mnalazimisha tu kwa tamaa yenu ya kuiharibu Zanzibar kwa kueneza ufuska na kujaza makanisa yenu.
@mti_wa_mpingo@IsmailJussa Tangu lini mambo hayoπππ . Karibuni basi mjiunge na Wazanzibari walioanza kuukataa muungano for decades, mlikua wapi nusu karne iliyopita.
@beet_kon@Mzanzibari5 Islam teaches to respect all religions so if a muslim does otherwise then he or she is going against the teaching of islam. Facts