Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa neema na baraka zake leo ninapotimiza umri wa miaka 65. Sifa njema zote ni zake Yeye, Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo kwa siku hii, na kwa dua njema katika kazi ya kulitumikia Taifa letu.
Ahsanteni sana.
Excellencies and distinguished guests, delegates, partners and friends, welcome to Tanzania for the Mission 300 Africa Energy Summit to be held in Dar es Salaam on the 27th and 28th of January 2025. This summit marks a historic moment in our collective efforts to accelerate energy access across Africa, and to take bold actions to power our continents's future.
Karibuni sana.
@SnrDirector inawezekana asiwe jike bali akawa dume mtoto. Wanyama kama simba, jike akizaa watoto hupenda kujitenga na dume kadiri watoto wanavyokuwa wakubwa. Hii ni kuzuia dume asiue watoto madume. Shida ni kwamba dume hataki ushindani kwenye familia hivyo muda mwingine anaua watoto madume
An amazing second day of facilitating a participatory process for development of guidelines for securing wildlife corridors, dispersal areas and buffer zones and enhancing community livelihoods during the national wildlife corridor restoration committee meeting