Unaagiza MZIGO wa nguo wenye thamani ya TZS 43,200,000/- unalipa kodi TZS 26,892,000/-. Unadhani huyu mfanyabiashara kurejesha FAIDA yake atapaswa kuuza mzigo kwa kiasi gani ili alipe pango, mapato, LUKU etc? WAJINGA ndiyo WALIWAO. Safi Rais @SuluhuSamia kulipa kodi ni uzalendo.
@SwahiliKid22@dizastavina FUTA CAND CRUSH KWENYE SIMU
kumbe sio mimi tu niliedhani rapcha kacopy flow za kendrick lamar ....
we mzee una balaa @dizastavina