@VitusNkuna@TunduALissu Ajabu na kweli risasi zimetokea upande wake wa kushoto lkn mguu ulioingia risasi ni wa kulia tu lkn ajabu zaidi, dereva wake aliyekaa upande wa kulia hakupata hata mkwaruzo mmoja wa risasi ambaye ametoroshwa mpk Ubelgiji bila passport.
@AnethStanley@tanpol@TunduALissu Hawajui kwa sab hatoi ushirikiano ili upelelezi ufanyike, kamtorosha dereva wake bila passport mpk Ubelgiji ili naye asitoe maelezo yake. Anaficha nini?