@chapo255 Pia wasanii wanaoshinda radioni kuomba sapot wapo nyuma ya muda sana kwa dunia hii, CHAPO unatuba habari za burudani hapa X kila mtu anakujua unapata deals vipi kama ungeenda kulamba miguu maboss pale mawingu. Lazima wabadilike leo radio ni chombo cha walinzi wasio na smartphone
@chapo255 radio pia wanastrugle kutafuta engagement mitandaoni ili wapate matangazo ya maana siku hizi ili radio ilipwe vizuri na wadhamini sharti iwe na ushawishi mtandaoni vingnevyo watatangaza kamari tu, interview ya bonge la dada inawapa likes 10k na ya Ay inawapa likes 2000