Tusaidie Baba. Isaidie Tanzania baba. Umewasaidia Venezuela kwa kumng’oa Maduro pale juu, sasa hivi nchi ya Venezuela haki imeanza kurudi. Waliobaki kwenye system wote now wana uwoga na sasa wanaleta haki Venezuela, wamewatoa wafungwa wa kisiasa, utekaji na uonevu wa Wapinzani umeisha na wanaVenezuela sasa wana imani kuwa uchaguzi ujao watafanikiwa kuchagua Rais wanaemtaka na viongozi wanaowataka.
@realDonaldTrump Please give Tanzania the same opportunity you gave Venezuela. Tunng’olee @SuluhuSamia huyu ni mtu ambae Marekani mna sababu zote za kumkamata, the drug boat mmekamata majuzi yenye usajili wa Zanzibar yawezekana mwanae Abdul anahusika, na ile issue ya uuzaji wa silaha za magendo, ile issue ilifanywa na mtoto wake na Angela Kizigha. Mna sababu zooote za za kum-Maduro Samia Suluhu na mtoto wake Abdul waje Marekani wajibu kesi zao, ikisha wapelekwe ICC kwa mauaji ya October 29. Then Nchimbi akichukua nchi I believe huku pressure ya Marekani ikiendelea juu ya demokrasia na huku Watanzania wenyewe tukiendelea kupambana Nchimbi roho ya uzalendo itamjia na ataleta haki haraka kwenye nchi kama yule mama wa Venezuela ambae sasa hivi anabadilisha siasa za Venezuela sababu anaogopa na yeye litamkuta la Maduro.
@POTUS@realDonaldTrump Please help us……
Hatuwezi kuwa na jeshi la polisi ambalo kazi yake ni pamoja na kufira na kulawiti watu kwa maelekezo ya Mafwele. Huu sio upolisi. Ni usenge! Lazima tuukomeshe!
Matishio dhidi yetu ni halisi, tunayasikia na tunajua… unaposhindana na watu ambao wameshindwa kushawishi umma.
Wanabaki na njia moja tu, mabavu, mauaji, kuteka, kutisha na kubambikizia watu kesi..
Kwa uhakika yote haya yatashindwa na haki ya Mungu itasimama kwenye Taifa lake…
Watanzania msiogope tutashinda.
Asante Katoro
Tunajua mmepanga kumkamata brother John Heche mumpe kesi ya uhaini.
Tunajua mmetuma vibaka maeneo tofauti tofauti wawinde na kuuwa wakosoaji popote walipo.
Swali: imewafaa nini kumuweka Lissu jela, na kuuwa maelfu ya watu hadi sasa?
Hamjifunzi?
Endeleeni, Mungu ni mwema🙏
Walimuweka jela SC Tundu Lissu ili tusiwe na kiongozi. Mungu ni mwema, kwa zaidi ya mwaka, tumeumizwa kwa viwango vyote, ila sisi ni IMARA zaidi yao. Stay safe & vigilant, Tata John Heche.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amefanya Ziara ya kichama Mkoani Geita hii leo Mei 16, 2026 ambapo amezungumza na Wananchi katika viwanja vya Satellite vilivyopo Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro, Wilaya ya Geita.
Heche amewasili Mkoani Geita akiwa ameambatana na Viongozi mbalimbali wa CHADEMA akiwemo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, Mjumne wa Kamati Kuu Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob, Mwenyekiti wa Baraza la Vijqna CHADEMA Deogratius Mahinyila pamoja na viongozi wengine wa chama hicho.
MillardAyoUPDATES
Samia hawezi toboa hata siku mbili gerezani. Lakini ameona vema Tundu Lissu akae gerezani siku 399 kwa sababu ya hofu ya kupoteza urais wake batili wa damu za Watanzania. Uonevu huu lazima ufikie mwisho.
Free Tundu Lissu Now!
Pumzika kwa amani Fr Peter. Pamoja na upole na ustaarabu wako, bado ulitekwa, ukateswa na kupewa maumivu moyoni mpaka kupelekea kifo chako! Rest in peace brother 🙏🏽😭
Msajili wa vyama, Sisty Nyahoza.
Mpango wowote muovu mnaoletewa na jaribio la kutaka kuzia chadema kufanya kazi zake au kukifuta chama chetu utabackfire vibaya.
Hatutakubali Chama chetu kiwe kibaraka wa ccm..
Tunajua Kesi ya Said Issa na vibaraka wengine ni ya kwako..
mahakama imetuondolea zuio umekuja tena.
Kauli ya Mwenyekiti wa vijana ccm kupoteza watu, na kweli watu wanapotea Popole, Mdude na wengine wamepotezwa.
Kauli za kina Makala za Mpox na Ebora.. kauli za mauaji na kuchinja watu za viongozi wa ccm .. Zipo nyingi
Je umewahi kuwaandikia ccm barua kuhusu hayo?
Acheni tushindane kwa hoja na ccm…
Ndio maana miongoni mwa mabadiliko, ambayo lazima yafanyike ni kufuta hii ofisi ya msajili inayotumiwa na ccm kudidimiza demokrasia.
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
DEAR TANZANIA: OPEN LETTER TO THE LAND & THE PEOPLE
Kama Mtoto wa Tanganyika, ambae kitovu chake kimetupwa fukwe za Bahati ya Hindi na mwenye ndui begani, nalazimika kuongea na wewe, TANZANIA…
Tanzania ni ARDHI, WATU, RASILIMALI na KATIBA. Sijaiweka Serikali kwa sababu baada ya October 29th, kwa mujibu wa Katiba, HATUNA SERIKALI, hivyo iliyopo ni HARAMU.
Nimekuwa na Wakati mgumu sana kuendelea na maisha ya kila siku, baada ya matukio yale, na AFYA YA AKILI ilipitia mtihani mkubwa baada ya Matendo na Maneno ya “Viongozi Haramu” kuendelea kutawala, bila dhamira, majuto wala uwajibikaji.
LAKINI TUMEWAJUA Watesi, Wanyonyaji, Waroho wa Madaraka, Wavunja Agano (Katiba, Sheria & Haki za Binadamu), Waoga na Wabinafsi. Ni dhahiri Walitukosea, Wanatukosea na Wanaendelea kutukosea; Wanawakosea Watu, Wanaikosea Ardhi, Wanaikosea Katiba.
Ni rahisi, kuamua kunyamaza na kusema Maisha ya Endelee. Ila amini kwamba. WAO WAMETENDA DHAMBI, ILA DHAMBI KUBWA KULIKO YAO ITAKUWA NI SISI KUSAHAU NA KUKAA KIMYA. Ni kweli Mahakama ni zao, Bunduki ni zao, Jela ni zao, Askari ni wao ILA SAUTI YA MWENYE HAKI NI MIGHTIER THAN ALL THOSE, and Justice may be delayed but it always prevails. Cheza nafasi yako kadri utakavyoweza, bila shinikizo la nje bali Msukumo wa Ndani.
Naomba Samahani kwa wote mliokuwa mnanitafuta na hamnipati. Changamoto was real, ila nashukuru nimepata namna ya ku-move forward. Wengi walishangaa ukimya, ila taratibu nimeanza kurudi to my old self (kidogo Twitter nimejitahidi, ila it hasn’t been easy).
Ahadi yangu ni kwamba, narudi kwenye maisha yangu ya kawaida ila sitokaa kimya kamwe kwa Matamko, Analysis na Muziki! I OWE THAT TO THE LAND and THE PEOPLE, especially those who died in October 29th - November 2nd, and THOSE WHO WERE ABDUCTED AND ARE STILL MISSING
Happy Valentine’s
The Leader
Tundu Lissu is a hell of a case study. Happy & resolute amidst turbulent times. M/Mungu amjalie umri aone matokeo ya kazi yake. Na mateso aliyopitia akiitafuta Tanzania bora.
Free Tundu Lissu Now.