@ByCardoJason πππππππsema ww unabalaa kaka kuna option unaniwekeaga kama unaroho ndogo auwek hela halafu zinatoa ata jana zile first half goal dadek nilikuwa siziamin halafu mapema tu zikatoa nishakufulia kofia ipo siku atatufungia acount kwa kipigo kitakatifu
@ByCardoJason Anza kutuletea odd 1.7 au 2 daily tukila siku 5 mfululizo tukianza na mtaji wa laki kwenda juu baada ya siku 5 tupo mbali ata odd 1.7 tu tukipiga rolover siku 5 tu tumekuza mtaji
@ByCardoJason Ata izo kaka upate tipster wanazozijua timu kama ww kuna ka app ka kina director izo odd 2 mnaweza loss mala tatu mfululizo apo adi unapata mapigo ya moyo
@ByCardoJason Nakubali kaka ππnilikuwa nafuta slip apa nimekutana zile odd 220 za juzi 1 cut goli moja tu tungechukua ata IST ata mbovu duuu ipo siku yake atalia