@mee_nicodemus Kosa watakalo fanya yanga ni kumuuza Damaro , shida ya Yanga kwa Sasa ni kocha na anaejua vipaki na mifumo sahihi ya kufanya mastaa waweze ku shain, .. mtazame pcome , Max, dube, now Boca wote wanashuka kiwango kisa kocha mifumo anatowachezesha haipi nafasi ya kushain. 442
@YoungAfricansSC Mfumo wa 442 sio rafiki kabisa kwa wachezaji wetu na unaua kabisa viwango vyao Kwan unawalazimisha kuchexa majukum mengi yasio yao , hebu kocha aliangalie Hilo . 4231 ndio mfumo sahihi na wachezaji wetu wameshain sana kwa mfumo huo
@Ambakisye31@angelish17@FKihamu Hata hapo japani alishindwa, vibaya kupiga bom la atomic ilikua ni kulipa kisasi , kwa kipigo alicho pata , Kasome Manchuria war
@MfalmewaX1 Ukweli ni kwamba hamna cha kufanya zaidi ya kujifariji tu , watanzani hao mnajifanya kupiga kelele kuhusu kususia muziki WA ndia ni wachache sana kuliko walio Wengi, .. kwa watanzani hizo sio shida zao mnajipandikiza chuki za kitoto sana