Ndio, Mungu alivaa mwili wa binadamu na mwili huo wa binadamu aliouvaa ukafa lakini yeye (Mungu) hakufa. kama ambavyo miili ya binadamu hufa lakini binadamu (roho) hafi milile ndivyo hata Mungu (Yesu) hafi milele ila ule mwili aliouvaa ndio ulikufa. Umeelew?
@Aruatani Ndio, Mungu alivaa mwili wa binadamu na mwili huo wa binadamu aliouvaa ukafa lakini yeye (Mungu) hakufa. kama ambavyo miili ya binadamu hufa lakini binadamu (roho) hafi milile ndivyo hata Mungu (Yesu) hafi milele ila ule mwili aliouvaa ndio ulikufa. Umeelew?
Jana Kijana wangu Gio kaanza safari rasmi ya Kiimani kupitia Kanisa Katoliki la Mitume.
As a Father ni jukumu langu kushiriki kumuanzishia safari hii muhimu ambayo ndio software ya kuwa mtu na Mwanajamii bora.
His name is Nathaniel, "God Given" ๐๐ผ
@Mushi_plus kwako ni sawa lakini kwa mfano kangu nimemuexperince Mungu kupitia maisha niliyoishi mpaka sasa, labda unahitaji experience hiyo ndio utaelewa
@Mushi_plus@francismtey sidhani kwamba nimekariri, morality hailetwi na sheria, usisahau kuwa hata kabla ya uwepo wa dini za kutoka nje ya africa mababu zetu walikuwa na dini zao na zilikuwa integral part ya jamii.
labda kama hujui kuwa dini/imani ni sehemu ya maisha ya binadamu tangu vizazi vya mwanzo, so wazazi wako walikurithisha kama na wao walivyo rithi na walikuwa sane. Hulazimiki kufuata urithi wao fuata njia yajo ikiwa unaona upo sahihi, usisingizie wazazi wako
Kati ya Kitu ambacho WAZAZI
walitukosea sana ni
Kutu - Rithisha DINI / IMANI zao
Wangetuacha Tuje Kuchagua
na Kuamua Wenyewe
Kipi Tuamini au Dini Gani
....
FRANCIS | ABRACADABRA
@francismtey labda kama hujui kuwa dini/imani ni sehemu ya maisha ya binadamu tangu vizazi vya mwanzo, so wazazi wako walikurithisha kama na wao walivyo rithi na walikuwa sane. Hulazimiki kufuata urithi wao fuata njia yajo ikiwa unaona upo sahihi, usisingizie wazazi wako
@Mushi_plus@francismtey ukisha sema mema na mabaya tayari unazungumzia dini, dunia isiyo na dini ipo kwenye sheria, haki itokanayo na sheria na sayansi. soma na uelewe nilichandika.
@francismtey@Mushi_plus Bado hujaelewa, hata wanajeshi wapo tayari kufa lakini muda wa kufa wanakuwa hana experience ya kufa na watakufa namna gani. wewe hata hujui usemacho.
@francismtey ukisema unajua haimaanishi kuwa umeona. Kwamfano tunavuta hewa ya oksijeni lakini hatuioni lakini tunajua kwamba ipo. unahitaji kukubali na kuamini habari za Mungu kabla hujafundisgwa habari za mbingu.
@francismtey ukiambiwa neno mbingu unaelewa nini? Mbingu ziko nyingi sio kila mbingu ni mbingu takatifu, omba tukufundishe habari za mbingu ili uwe mwerevu.