@mangekimambi Kinachonishabgaza ni Wamarekani hawaelewi kwa nini wameingizwa kwenye hii vita na wanadai maelezo lkn kuna wengine huku wanaishangilia ๐
@YYehoyadah@iranulis80284 Wanapojitoa kutii amri za wakubwa zao wakati wanajua ukweli, ndio upande waliouchagua. Unapotii amri kulinda maslahi ya wachache ni kinyume cha katiba na moja kwa moja inatengua kiapo cha utii kwa Taifa!
@godbless_lema@miraji39 Swali ninalojiuliza hadi sasa, nini chanzo cha hii chuki ya polisi na askari kwa wananchi? Hata kama wanafuata maamrisho ya wakubwa wao, IMEZIDI..! Ni kama wananchi waliwachukulia vyao..! KWA NINI?
@meena_ally01@LarryMadowo Hiyo other side ni ipi? Kuwa vituo vingapi vya mafuta vimechomwa
Na magari mangapi? Halaf iwe justification ya haya mauaji? I expected better than that from you! Sad! ๐ฅฒ
@fatma_karume Hamjaelewa maana ya hili swali, swali ni kwa nini ULINZI ulihitajika kwa mtoto wa Rais huyu ambavyo haukuhitajika kwa wale wa Marais wengine? Si kuwa anamuonea wivu!
@Labella_Mafia95 Master J anaweza kuwa legend lkn hatendei haki heshima anayopewa, ukimsikiliza hata comments anazotoa kwa washiriki BSS, inakera, angalao mwaka huu Salama amekuwa anatoa ushauri vizuri sana kwa washirikiโฆ.. so mwache atukanwe tu
@Labella_Mafia95 Kwanza kusema Kiba amekurupuka si sahihi, kwa sababu Master J alimtaja jina, na ukishamtaja mtu jina inakuwa Personal Attack hivyo huyo mtu naye ana haki ya kukujibu aonavyo ni sahihi!
@BalamaKaiza@JideJaydee Yaani mtu akishaanza comment yake na โthat meansโฆ..โ inakera! Unawekaje maana yako kwenye maneno ya mtu mwingine? Ni kuwa wewe unajua anachowaza kuliko yeye mwenyewe? Mxxiuuuh
@IAMartin_ Braza, anza wewe kuwa mabadiliko unayotaka kuyaonaโฆโฆ mna pesa nyingi tu kwa nini msianze ku-implement hayo unayoyasema? Kukosoa tu ina maana kukata tamaa na kuwa frustrated