Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa;
- Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS) bado yupo ofisini
- Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) bado yupo ofisini
- Wakuu wa Mikoa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa yote husika wapo ofisini
- Wakuu wa Wilaya na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya zote husika wapo ofisini
Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa, halafu Umma ukubali kuwa hii haikuwa kazi ya dola yenyewe kujiandaa kuua watu wake?
Kama umekuwa hupati matokeo kwa muda mrefu kwenye maisha acha kusoma self help books, unapoteza muda.
Anza kusoma maandishi ya kale ya falsafa, saikilojia, quantum physics,na elimu ya kimungu.
Mafanikio kwenye chochote kile ni PRINCIPLES, mbinu hubadilika.
Zamani nilikuwa nadhani Wanaume wanaopiga wapenzi wao au wake zao basi ni wajinga kichwani.
Lakini wanawake wengi ni wapumbavu sana kichwani, sometimes they deserve it
Kama bado una deti na Mwanamke anaehitaji pesa za vocha, vipodozi, kucha, kusuka au chakula, basi bado haujawa serious na maisha.
Kuwa makini na maisha yako.