CCM wanadai kuwa mabeberu wanataka madini ya Tanzania ndio maana wanaingiliw mambo ya TZ, je kwanini CCM hawaweki wazi rushwa waliojaribu kuwapa Wamarekani ili wakae upande wao (wauwaji)?
Watanzania ni hivi. baada ya Marekani kutoa lile tamko lile la kwanza kabisa juu ya mauaji, Samia alitafuta kampuni za Kimarekani na kuzipa contracts za madini akidhani kuwa Marekani wanatetea wananchi sababu wanataka madini. Akadhani akitoa madini basi kesi imeisha. Kampuni kadhaa za Marekani zikakubali offer na kusaini na Samia akadhani keshamlegeza Trump na kesi imeisha.
Mnachoona leo ni kwamba wamepaniki na kuchanganyiwa, walitegemea wakimpa Marekani madini ya Tanzania basi kesi imeisha. Sasa imekuwa opposite, kampuni za kimarekani zime sign madili ila ndio kwanza serikali ya Marekani inawasha moto juu ya October 29 .
Watanzania daini kujua tokea October 29 Samia katoa contract ngapi za biashara kwa kampuni za Kimarekani ili Wamarekani wafungie macho October 29? Akishajibu hilo ndio mtajua kuwa Wamarekani wanania ya kweli kutusaidia na wamegoma kushiriki ufisadi wao na uuaji wao na wananchi.
Nimeona niandae tena treni la 2 ambalo odds zake ni kichele tumezilinda timu zote za uhakika kwa options 2 nitasave hii post ili nije nigawane na nyie hii hela usikae mbali repost ujiwekee dhamana @Samalentips ๐ญ๐ญ
Wanangu kwa kuwa jana nilikataa kulala baada ya onecut kwenye mkeka wa odds nyingi nimeamua tena niitafute milioni 90 hadi mwisho wa mwezi huu , nina imani hii nitapata na nitagawa milioni 20 kwa wote waliorepost hapa @Samalentips 2UP odds 1- 1.40 mechi sio nyingi ๐ญ
Hii laki 8 ni yenu wanangu hili Keka nimeweka leo, nimelichambua toka Wiki iliyopita naimani nalo sana, sisi kwa kuwa hatuwezi kuweka hela nyingi tutapambana tu hivihivi Na vi stake vyetu vidogo @Samalentips Nimeweka Jero REPOST ๐คฉ