🚨 BIG ANNOUNCEMENT 🚨
From today, I’m officially open for collaborations and partnerships 🤝✨
Over the past months, I’ve been working hard to upgrade my skills and portfolio, and now I’m ready to work with brands, companies, and organizations in different industries.
🙏
Mfungwa Amnong’oneza Rais Dkt. Samia: “Niambie Mimi Mama Yako” Wakati wa Hafla ya Kuhitimisha Mafunzo ya Uongozi
Leo, wakati wa hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu na Uongozi Daraja la Pili Kozi ya 2025/26
Mbona hujaweka ya billnas ile LC 300 yake, na pia gari ya mondi sio bilioni acha mawenge, na pia rayvan hana rollys royce , pia posh ana gari kadhaa ikiwemo range velar niliipiga picha mwenyewe hivi majuzi Fuatilia kabla hujaposti
My sister alikuwa ananishauri sana ninunue hizi sunscreen ila nikamwambia sioni umuhimu wa mimi mwanaume kuanza kutengeneza uso kwani nani nataka anipende 🤣
Mtoto wa kimskini kama unafanya skincare routine una haya ma cerave nk hizi sunscreen inabidi tukukamate utuambie unatoa wapi hela na kwanini unafanya skincare 🫵
Sio kwa ubaya ila kwa ushauri huyu mwenzenu alishashinda zake mamilioni nyie mliobaki mnaweza mkapoteza mamilioni mpaka mshangae kwenye hizi code zake 🤣
Kuna namna hawa content creators wanapush sana mambo sijui ni mpango wa shetani au ni nini? Ila kwa namna flani next 10 years wanaume watakuwa wakutafuta kama kakakuona 🫵
Nyie Gen Z ndio kizazi ambacho kina uwezo mdogo sana wa kufikiri( IQ) ndio maana hamna uwezo wa kutatua changamoto na ndio maana vijana wa saivi wanaitegemea AI kwenye kila kitu shame on you 🫵
Mi naona kama mnateseka nyie ambao mme base kwenye relationship zenu na gen z mi mwanamke hawezi kuniuliza eti nilikuwa naongea na nani au kwanini sijapokea simu yake huo ni ufala 😡
Hii niliona faida yake kipindi flani ninafanya application ya Visa ya kwenda nchi flani na kipindi kingine nilipokuwa nominated FORBES nikawa nimetakiwa kuwasilisha POLICE CLEARANCE hapo ndio niliona umuhimu wake 👏👏👏