MrBeast posted a few minutes ago that he's giving away $2,500 completely for free. I don’t know if he’s already deleted it or not, but it’s true - I personally withdrew it to my wallet
https://t.co/OhFavFi9JO
@EngJubel@HusseinBashe Yes mpango ulifanya kazi na vijana wanaendelea cos mazao waliyoshauriwa kulima pale ni yale ambayo yana demand kubwa katika soko la dunia. @HusseinBashe kupitia wizara anawataftia soko la moja kwa moja. Changamoto muendelezo ndo sijui.
@EngJubel@PA Vijana wa @tanzania wanauthubutu sana. Hebua angalia hili..
Kijana yuko tayari kwenda kuandamana kwaajili ya mwanasiasa. Huyu atashindwa kushiriki katika mambo yanayomgusa maslahi yake moja kwa moja kweli....
@EngJubel Ipo haja ya kutengeneza sera ambazo hazita mfurahisha mtu kwakusikiliza bali zilizo na uhalisia kiutekelezaji.
Mfano sasa @HusseinBashe alianza mchakato mzuri sana pale dodoma wa kuwatengenezea vijana skimu za kilimo cha umwagiliaji na kuwawezesha vijana that was something...
@EngJubel@PA Na wakati mwingi hata ikitokea ushirishwaji basi huwa ni mapitio. Sera inakuwa ishatengenezwa tayari. Na kwenye mapitio yenyewe vijana hawapewi muda wa kutosha kuchambua muswada, kuupa uhalisia wa hali halisi ya vijana kitaifa
@EngJubel Kwa mantiki hiyo tuamini kuwa kwa sasa hatuna chama ambacho kinazonsera madhubuti za kumuwezesha, kumuendeleza na kumlinda kijana kijamii, kisiasa na hata kiuchumi.
@EngJubel Kwani katika ilani zoote tulizo soma kuna ilani gani yenye sera zinazoreflect uhalisia wa hali ya vijana nchini. Zaidi nyingi zinatitengenezea ndoto za kusadikika ambazo hata wao wenyewe wanajua hazitekelezeki!!