SIFA ZA MKOMBOZI WA FAMILIA
1.Mtu wa misukosuko
2.Hueleweki na familia
3.Magonjwa au kunusurika kufa mara kwa mara
4.Kukataliwa/kutengwa na watu wakaribu
5. Kesi,zisizoisha
6.Hufanikiwi kwa haraka
7.Unapitia magumu,unavumilia
8.Kuwa na maono makubwa, ukiwaambia watu wanakucheka