Hii tweet angepost mrembo kama omalicha neno kwa neno kama alivoandika huyu bidada, asingeshambuliwa. Huyu kashambuliwa sana hapa sababu she's ugly halafu ana audacity ya ajabu, Kokwa anapaswa kujua kwamba chanzo kikuu cha matatizo yake humu Twitter ni sura yake.
Kuoa Mwanamke Asiye Na BIKRA Inaweza Isikuumize Sana Lakini Baada Yakumuoa Then Unaona Kwa Ushahidi Mwanaume/Wanaume Waliomkojolea MKE Wako Tena Wengine Ni Washikaji Zako Hapo Ndio Utajiona Wewe Ni MJINGA Na Hisia Zako Kwa Mkeo Zitakufa. Hakikisha Unaoa Mwanamke Mwenye PAST Safi.