mimi ni mwanadamu si mkamilifu huenda kuna siku
1-Nilikusema
2-Nilikukera
3-Nilikuudhi
4-Niliondoa Amani Moyoni Mwako, iwe bahati mbaya au kukusudia
6. Niliwahi kukuharibia siku
7. Nilikudharau Kama lipo moja katika hayo Naomba TUSAMEHEANE. Pia niambe ili isitokee tena๐ค๐