@Chizzodrama Mmoja anasema mfumo wa elimu mbaya. Mi siamini kama wakirudisha syllabus za 1962 mpaka 1980 kwa kizazi hiki hakuna atayepata degree. Naona kama kizazi hiki kina walemavu wengi na aghalabu kuweza kokotoa. Zamani tulisoma haswa na kizazi kile hakijirudii tena. Ndo utawala wa AI.
@mangekimambi Naomba mtandao wa X usiposti uchafu wa Mange kwenye simu yangu kuanzia leo maana kaongo, kambea na kachonganishi. Kanapewa document fake kakidhani watz hawajasoma, labda kenyewe kalifeli ndo kakaondoka Tz.
@LarryMadowo@ealawsociety Activism in Kenya not allowed in Tanzania. Constitutinally Tz is right, kamalize matatizo ya kwenu. Kumbe wanasheria ni hovyo kiasi hiki. Mkifikia Barrister at Law mtataka kuingia Ikulu kwa mapanga.
@mangekimambi Roho za kimaskini. Mtu anakonda hata kichwa, unawachukia kesho wataviacha, kila mtu ana kifo, hofu yako nini? Tafuta na wewe. Hata godoro unalolalia mwingine hana, analalia kirago, ogopa kumtukana Mungu. Wewe unaishi kwa kusema uongo mitandaoni, nawe wakuhukumu vipi?
@godbless_lema Watanzania hatukuzoea matusi. Endeleeni kutukana na ikawe sera ya chama. Mnajiita umungu na unabii, hatari kama kidogo. Jipakeni udongo uwe upako.
@godbless_lema Huyu Mungu unayeendelea kumchezea iko siku atakurudi bila mwenyewe kujijua. Kumbuka hata Yesu hakuws mjivuni. Asiyefunzwa na mamaye, ulimwengu humfunza. Nilitegemea hata wanao wangekuonya. Usihukumu kwani nawe utahukumiwa.
@chiefgodlove1 Umenena Chief, vijana wengi wanaacha kupambania maisha binafsi wakidhani kuna mafanikio bila kazi. No tafadhali no, huyo activist anafadhiliwa hata na wahuni. Fahamu kuna wanaharakati wa USHOGA, nawe ni shoga ushabikie harakati? Piga kazi, huwezi muona anayejitambua
@chiefgodlove1 Mnaokosoa hamna hoja. Siasa na harakati ni vitu tofauti. Tatizo letu ni kutojua ushabiki wa siasa na harakati. Siasa ni maisha, harakati zina muda na kikomo. Wengi kauzu wanashinda kuandamana kwa kumfuata mtu tu bila kutafakari kesho yako. Hata ukifa legacy huna. Umetumikishwa.
@earadiofm Mashabiki acheni unia unia, uongozi haujasema. Ukisema watacheza wewe shabiki utasimamia wapi ujinga wako? Kitu msichokitafakari kwa makini ni nini chanzo cha tatizo. Ukilijua hilo utabana tuu.
@mangekimambi Wewe uko Marekani mpuuzi malaya wewe. Sisi twende tukafe eti tulihamasishwa na Mange. Itakuwa aibu sana hasa kwa wazazi wetu waliogharimia elimu yetu. Mmeshapangana namna ya kugawana vyeo, wapuuzi na wajinga tuu watasikia maneno yenu. Mliiona Tanzania maskini leo mnaitamani. Fu
@godbless_lema Na ikumbukwe kwamba wengi walikufa wakati wa apartheid nafamilia zao zinateseka hadi leo wakati viongozi wao wakiendelea kugombania madaraka huko south. Loosers ni wanaoambiwa siyo watoa amri. Familia zenu ziko nje sisi twende kupambana na dola. Hiyo nasema hapanaaa!
@PMadeleka Kikinuka unadhani kuna mtu atakuwa salama? Na kwa sisi tunaodhani tunapigania haki tutamalizwa kama panzi. Wasome resistance ya Palestina huishia wapi? Hata tuwe wajinga kiasi gani, mkutano wa siasa sokoni? Kichwa kile kikubwa cha Heche ndiyo mwisho alipofikiri? Ujinga mtupuuu.
@Sativa255 Watanzania wa leo siyo wa 2030. Yawezekana chama kikafutwa kabla ya huko 2030. Mwenzenu anataka urais na anadhani Mungu anajali maslahi ya mtu, ngoja tuone hii post yangu ni ubashiri tuu kama alivyo Sativa na betting. The Fall of Opposition.
@chechetimes Kuna vyombo vya habari na mitandao. Mitandaoni hata mataahira wanaandika maana hakuna uchambuzi. Kusema uongo kwa umma ni kutengeneza taharuki. Duniani kote hakujawahi kuwa na msamaha kwa haini. Unafitinisha wananchi kwa faida ya nani? Hawa diaspora siyo wenzetu aibu kuwabeba
@TanzaniaLeaks Don't play with mad dogs and getting your guts spread over the floor. That is strictly for the birds. Differentiate between Mandela of apartheid and Chadema of free Tanzania. Malicious allegations will never yield innocency. Hooliganism is never tolerable.