Unadhani ni kwanini Wanaume walioowa wanawake walioishia Elimu ya darasa la saba wanafurahia ndoa zao Kuliko wanaume walioowa wanawake wa elimu za Juu..? @TimesFMTZ
Jirani yetu Mtaani amepata ujauzito Mpenzi wake amemkimbia,Daaaa..!Wanaume sisi mungu anatuona.Hivi ni nini kinachosababisha Mpaka baadhi ya Wanaume kukimbia Ujauzito..? @TimesFMTZ
Je Unazifahamu Faida za Mwanaume kudangiwa au kuchunwa..,?Sikiliza sasa hivi Mitikisiko ya pwani,Mwanasaikolojia DanielMarandu anatueleza faida za kuchunwa kwa mwanaume.@TimesFMTZ
Je unazifahamu Faida za Mwanaume kudangiwa au kuchunwa..,?SIkiliza leo mitikisiko ya pwani,Mwansaikolojia DanielMarandu anatueleza faida za kuchunwa kwa mwanaume @TimesFMTZ@LilOmmy@IdrisKitaa
furaha yangu na kazi yangu ni kusukuma muziki wetu mbele zaidi na kwa ukubwa unaostahili katika nafasi yangu #NyotawaMchezo ameanza @VanessaMdee kama msanii wa kwanza kupokea Plaque na wengine watafuata (based on ubora/uzuri wa kazi na categories nilizozitagaza mwaka jana hapa)