*TAFAKARI.*
Usiache kuswali kwa kisingizio cha kupata kazi au kwa sababu maisha yako yamekuwa mazuri.
Kumbuka, mauti yapo na hayatoi taarifa kabla hayajakufikia.
@mmanyema5
Mwanaume unapo taka kuoa usitangulie kumpa mwanamke wako pesa .....SIJASEMA KUMPA PESA NI VIBAYA ILA ANZA KWA KUMSHAWISHI mwonyeshe au mweleze hali yko ya kimaisha na kiuchumi...malaya uongwa ila mke uvumilia hali ya mume wake ata anapokuwa chini kimaisha ..
Kila neema au nafasi anayopata mtu ni mtihani kutoka kwa Allah,kama vile mapungufu na changamoto pia ni mtihani
Usikimbilie kuhukumu maisha ya wengine kwa nje,kwani hujui wanavyopambana ndani kwa ndani
Badala yake,tumia muda wako kumshukuru Allah kwa kila hali yako
Kuna baadhi ya watu wanaakili mbovu.
Mtu anakwenda kutembea na rafiki wa x wako ili kumkomoa x
Kumbe unaukomoa utupu wako x katulia na utupu wake.
Ukiona m/mke au m/ume anafanya ivo ujue ajapenda alimtamani mwezake tu.
3.__Hakika sikutaraji kulikosa lako
penzi, wataka kuniacha kuniacha
ningali nakuhitaji, mpenzi tambua
nahitaji yako hifadhi na niko radhi
kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,
amini kwenda kwa mwingine sihitaji.
Nakupenda.
SMS 10 KALI ZA KUNOGESHA MAPENZI YAKO.
1__Wangu kipenzi ninayekuenzi, jua
wanitia uchizi na kuninyima usingizi,
sijui kama una kizizi au ni mapenzi
ndiyo yaninyima huo usingizi, la azizi
nimekumiss kichizi, u hali gani
mpenzi?
🧵....
2__Japo umeniuzi sina budi kukupa
hizi pongezi, sijui umejifunza wapi
mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa
wa mapenzi! Nakupenza mpenzi
nitunziye langu penzi!
Katika Qur'an, Allah anasema katika Surah Al-Imran,Ayah 185:
"Kila nafsi itaonja mauti, na bila shaka mtalipwa kikamilifu malipo yenu siku ya Kiyama. Na atakayeepushwa na Moto na kuingizwa Peponi, basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu
FADHILA ZA MWENYE KUZUIA HASIRA ZAKE
Yeyote atakayezuia hasira,llhali ana uwezo wa kuzitekeleza,ataitwa na ALLAH siku ya kiyama mbele za viumbe ili amkhiyarishe kumpa mahuriaini awatakao…
@0505zulfat
@Aididi13
@AkiduZacha96428
@humbleQueen02@Oman556641@mmanyema5
Wewe ni mtu pekee uliegusa moyo moyo kwa hubba lako na ukaufanya mwili wangu ugande kwa mguso wangu hauwezi kuganguka ispokua kwa kudumu kulipata pendo lako
Wakati mwengine hata vidole vyetu,vinastahili kunyongwa kwa sababu,viliandika maneno mazuri kwa watu ambao hawakustahiki kuwaandikia.
😷
@0505zulfat
@_amutiqun
@AkiduZacha96428
@mmanyema5@Oman556641@Habebty_Hebah