Ukweli ambao huwezi kuusikia ukisemwa: Kwenye maisha halisi mtaani wanawake wengi wamewaharibia maisha wanaume kwa njia wanazozijua wao. Kwenye mitandao wao ndio wana-play victim cards ili waonewe huruma. Siku mwanaume akiamua kukufungukia maswahibu yake utawachukia wanawake.
Twitter ni familia kubwa sana na imara, nimekuwa humu tokea 2013 nimejionea mengi na kujifunza mengi kitu naweza kukushauri ni kwamba ishi na watu vizuri matusi na kudhalilisha watu siku zote mwisho wake haujawahi kuwa mzuri.