@HecheJohn Rais wa Marekani Trump alimwambia muandishi wa habari pale oval mbele ya macho ya dunia nzima kua atafungia chombo chake, uliiona hii kaka? Nini maoni yako? @HecheJohn
@MariaSTsehai@SuluhuSamia@IntlCrimCourt Where did you see this?, I live in Tanzania and I know you don't. Being activist doesn't mean to be a good deceiver.
@MariaSTsehai Hivi sio nyinyi juzi kati hapa mlisema kila mjeda kapewa laki tatu kwa ajili ya kazi ya October 29? Leo mmeshasahau mnasema hata maji hawakupewa? ๐คฃ Muwage hata na akili siku moja moja.
@Roma_Mkatoliki Hichi mnachokitengeneza nyinyi wakina @Roma_Mkatoliki kikiondoka na damu za ndugu zetu wengi sijui kama kizazi chenu hakitalaaniwa. Sijui kwanini hamuioni hii hatari, au mnataka tuamini kwamba mnalipwa na mabeberu?
@HecheJohn@HecheJohn ni kati ya viumbe wajinga niliowahi kuwaona. Anataka tuamini taarifa ya polepole kisa alikua kiongozi mkubwa kwenye chama ila tarifa ya yule anayedai Mali za CHADEMA Mmahakamani hataki tuamini ingawa kipimo Cha uongozi ni kile kile. ๐คฃ