@MkulimaKante Kuna mtaa mmoja Mwanza wanaishi matajiri ila Cha ajabu kila mwanamke anaye toka ndani ya mjengo ni anajifanana tufupi,tweusi inshort sura na kila kitu ni personal nikamuuliza jamaa angu kwani huku vp mbona Wanawake wote ni vitenesi?akaniambia warembo tunakesha nao bar.
Ifike mahali wanakwaya makanisani nao wawe wanalipwa. Au kanisa litenge miradi maalumu ambayo itakuwa kama posho kwa wanakwaya. Wachungaji wanachukua hela kanisani kuhudumia familia zao au kujihudumia. Wanakwaya wanatumia muda na nguvu kutoa huduma kanisani. Biblia inasema.
1 Wakorintho 9:13–14
“Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekalu hula vitu vya hekalu, na wale waitumiao madhabahu hushiriki pamoja na madhabahu? Vivyo hivyo Bwana ameamuru kwamba wale waibibiliao Injili wapate riziki kwa hiyo Injili.”
Dear wafalme,
Jamii itakushauri kuoa mwanamke msomi (career woman).
Oa mwanamke mwenye heshima, mtii hata kama hajasoma,
Ujiepusha na;
"Najua haki zangu"
"Mwili wangu, chaguo langu"
"Siwezi kupika nimechoka"
"Sipo tayari kupata mtoto"
"Hujiamini"
"Usinipangie cha Kufanya"
Ukihisi mkeo anatembea na bwana fulani ukafanya uchunguzi ukamuuliza akakataa
mwisho wa siku ukaamua kumuacha aendelee na maisha yake then baada ya siku chache unamuona anaolewa na yule yule bwana ambae ulihisi anatambea nae 🙌