Kuna habari nimeipata ila kwa vile sina evidence ya 100% basi sitotaja majina directly ila issue iko hivi, JK has come up with a plan ya kuitawanya Chadema kama alivyofanya kwenye Urais wake kwa kuanzisha ACT Wazalendo na kimama kaanza kuitekeleza plan hii.
Abdul na mama yake kwa sasa wanafanya big financial investment kwa viongozi wa Chadema kupitia business mpya.
Nimeambiwa Kuna Bank inaitwa Bank M itatangaza kufilisika kisha watainunua wao kina Abdul kama taasisi ya pesa yenye leseni, watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Wanajipanga kufungua bank ya kifisadi ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi endapo USA wanaweka sanctions kwenye mfumo wa fedha, inorder to by pass possible coming sanctions. Wanatengeneza hiyo shadow banking network and some viongozi wa Chadema wamepewa shares kwenye huu uharamia ili kusaliti wananchi……
Bank M iko chini ya mfilisi ila soon Bank M itakuwa activated with “foreign owners” na itakuwa foreign bank yenye wateja TZ. Hao “foreign owners” ndio mpaka some viongozi ndani ya Chadema wako. Kuna kiongozi mmoja ndani ya Chadema huyu mpaka katoa maelekezo kuwa hii bank iwe na HQ nchi flani.
Nimeambiwa Mbowe keshaanza kujenga majengo Dodoma ambayo atawakodishia hii bank.
Yani its a network made up of some viongozi wa Chadema wakishirikiana na wauwaji wa October 29. Yani CCM wamekubali kula na viongozi ndani ya Chadema ili mradi haki isipatikane Tanzania.
Naomba kila mtu asave hii posti coz kuna siku nitarudi ku refer to this post. Please save this post.
Tume ya Ghasia wataiskip i-buy time mpaka 2027, hadi hapo wanakuwa wamefanikiwa kuSave 2years!!
Inabaki miaka mi3 watachekecha waje na agenda gani tena ya kuwapiga dana dana wapiga kura waendelee ku-buy time.
Lengo apo ni waBuy time hadi 🧕 amalize 2030.
Wakiulizwa kuhusu katiba watasema sikilizieni, ngoja kwanza tume ilete majawabu.
Baada ya tume ya ghasia 2027, wataunda tume nyingine hadi 2029!!
Strategies za darasa la nne C
Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe.
Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa.
Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za ajabu kwamba:
1. Watu wanatekwa kwasababu za kimapenzi
2. Kwasababu za ushirikina
3.kwasababu za kibishara.
Kuna familia zinasema na zina ushahidi wa ndugu zai kutekwa na kupotelea vituo vya polisi, lakini Chande hakusema hilo popote.
Kama ilivyokua tume ya Chande.
Hiki kinacholazimishwa kitaharibu na kuwagawa Watanzania zaidi.
Jaji wa Museveni ambapo wapinzani wanauwawa, wengine wako jela na wengine wamekimbia Nchi.. labda atawapa uzoefu zaidi wa namna ya kuumiza watu lakini sio kutafuta ukweli.
@MarekaMalili Kwenye GOT Yule Jaime Lannister alikuwa anakata dadaake kabisa(Cersei Lannister) na wakazaa kale Ka dogo kwenye House of dragon(Aemond) kalimchapa maza ake Lita yani ni jau
Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
I proudly represent Tanzania, carrying with me the spirit of our people, our agriculture, and the incredible potential of our coffee, ginger, and many other products. This is more than a personal achievement it's an opportunity to showcase what Tanzania has to offer the world
Watanzania tuko vizuri kwenye kudai haki, Tafadhali tusikubali kutolewa kwenye focus ya kubadilisha maisha yetu na nchi yetu kwa ku trendisha upuuzi wa wasanii.
Watu maarufu ndio wamekuwa kikwazo cha Watanzania ku focus kudai haki sababu ya ujinga wetu Watanzania, tena Watanzania maskini ndio tunao trendisha huu upuuzi
Ukisema viongozi Arusha wanapora ardhi ya wananchi unaitwa chadema. Ukikemea ufisadi unaitwa Chadema ukitetea utawala wa sheria utaitwa wewe ni chadema basi chadema ni chama cha haki.
Hii ni kama shetani akwambie tumsifu Yesu Kristo / As-salamu alaykum
Zenji wameridhiana mara ngapi? na bado akina Jussa walikula virungu kama kawaida.
CDM wakikubali hii itakua kama ile ya kumpokea Edo.
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Huyo ni SULEIMAN MOMBO kazini. I think nilishawaeleza Watanzania kuwa Samia ametoa order kwa Usalama wa taifa kumuua Heche iwapo hatofanikiwa kumuondoa kwenye nafasi ya uongozi Chadema kwa kumchafua.
Kama ulichukulia simple lile onyo naomba kila mtu achukulie serious. Samia yuko tayari kuua yoyote yule ambae anazuia maridhiano ya kihuni anayoyafosi na Chadema. Na ndo maana bado kashupaza shingo juu ya kumtoa Lissu ingawa dunia nzima inapiga kelele amwachie. Anajua Lissu ndo kabisa hatokubali huo upumbavu.
Naposema maridhiano ya kihuni naomba muelewe kuwa Samia hataki any international mediator, yani baada ya mauaji aliyoyafanya anataka akae na Chadema kienyeji ili Chadema wamuhalishe kama rais halali wa Tanzania and that WILL NEVER HAPPEN!!!!!!!
@SuluhuSamia MARIDHIANO YA KIHUNI NA WAUWAJI WA OCTOBER 29 WATANZANIA TUMEYAKATAA. UTAUWA NA KUBAMBIKIA WANANCHI KESI ZA UGAIDI ILA MARIDHIANO YA KISHENZI UNAYOYAFOSI HAYATOFANYIKA NG’OOO!!!!!!!
Awamu ya pili ya kuhamasisha Tonetone leo tumeingia mtaa kwa mtaa kuhamasisha uchangiaji ili kukamilisha milioni 334.
Kila tulikopita wananchi wametupokea kwa furaha na kuchangia papo kwa hapo.
Tuendelee kuchangia chama kwa namba M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo