@PeterDafi@arsanaly@IamLyenda Baaaas siwez kuchat na ww ukiwa na mind set ya kijifananisha na marekani ni kichaa tu kweny dunia hii anawez kujilinganisha matatiz ya africa na hata nchi nje ya africa na nchi km marekan unaongelea dunia nyingin kbs
@PeterDafi@arsanaly@IamLyenda Hpn hapo sikubalian na ww vyama pinzan havidanganyi vinasema ukwel sema ccm imepofuka kwa praise za kichawa swala km la ajir utasema vyama pinzan vinadanganya utitiri wa kodi na tozo kwa biashar ndog za vijan ccm imejipofusha au imeanza kufa mana inashidwa kua na majib ya changam
@PeterDafi@arsanaly@IamLyenda Fact ccm wanapaswa kulijua hili sio kua praise team kweny kila kitu km tunakosea na tunaona kbs tunakosea sio vibay kufata ushaur mbadalna sio kujali tamaa zetu ni ngumu sana kuwaongoza watu wenye njaa
@PeterDafi@arsanaly@IamLyenda Maelezo mengi infact sio normal citizen wala gvt itakayo heal after sanctions so it's well kukubali ukwel mana sanctions sio nzur mana leo unaweza kuwaz kwa ss makapuku ndio tutakua affected ila maisha yakiwa magumu unazani ata izo tawala zitawatawala wananchi