Kumepambazuka omba MUNGU, salimia watu,tafuta hela acha kiburi wivu ni uchawi na uvumilivu ni silaha.π
Kumekucha ndugu zangu.π
Good morning X family.π
Mwanamke anaweza vuka bahari na milima ili mradi tu amfikie mwanaume Anaempenda π
Oya hakikisha wewe sio iyo bahari wala milima ππππππππππππ