@UHURU12345 Mnapenda kutafuta followers kwa kuchafua watu. Abdul mnayemtaja kwa mabaya hayuko hivo mnavomsema. He is a very humble guy ila wanaharakati washawaaminisha uongo..
@chapo255 Vitu vingi ambavyo Harmonize alimsema Mondi ndo vimemrudia/amefanya. Skiliza Hainishtui, je kuna ishu ambayo ye hajafanya?? Mondi will Baki Mondi tuu