PART 2.
Hii sasa wasome wanaotaka kufanya biz ๐น๐ฟ๐ฆ๐ช
โ ๐ฝ๐ฐ๐ป๐ผ ๐ต๐ฐ๐ด๐ฌ๐ฑ๐ฐ๐ญ๐ผ๐ต๐๐จ ๐ฒ๐พ๐ฌ๐ต๐๐ฌ ๐ฉ๐ฐ๐จ๐บ๐ฏ๐จ๐น๐จ ๐ซ๐ผ๐ฉ๐จ๐ฐ
โค Usiulize bei ya bidhaa kwa supplier ama duka moja na kununua: zunguka acha uvivu uliza at least suppliers watano. Unaweza kuta umesevu hadi 3m kwa mwezi kwa kuuliza bidhaa sehemu tofauti.
Trick nyingine nilikua natumia mimi ni nikiona bidhaa fulani letsay iPhone naulizia suppliers 5 nachukua number zao nawaeka kwa broadcast list whatsapp halafu nikitaka next time nawatext tu wote. Ambae bei ni chini na bidhaa ni kali naenda. So sipotezi muda tena kuingia kila Duka.
โค Bei za bidhaa Online ni juu kuliko ground. Inaweza isiwe juu sana ila websites kama noon, amazon, carrefour nk bei zake huwa juu kidogo kuliko kwenye markets.
Lakini unyama wa hizi sites ni kwamba hutembei kusaka bidhaa zinakufata, kuna promo codes za discount online haswa siku kama za black friday nk.
โค Huwezi fanya biashara peke yako Dubai walipe watu. Lazima uwe na mtu wa kukusaidia packaging, mtu wa kukupeleka machimbo mzoefu, mtu wa kukusafirishia, watu wa kukusaidia bongo nk. Ndomana me mambo yanaenda smooth mfano nikituma mzigo cargo nawapa @deliviosend tu details wanamalizana na wateja Bongo.
โค Bidhaa ambazo hazitakusumbua kusafirisha ni zisizo za vilipuzi. Bidhaa kama simu, PC, nk zenye battery kusafirisha huwa ghali na zina usumbufu sana compared to bidhaa zingine kama mavazi, accessories hazina battery, nk.
โค Gharama ya usafiri Vs Speed. Kusafirisha kwa meli ni rahisi gharama ila muda mrefu 3-4 weeks na hakuna restrictions kwa bidhaa halali. Kusafirisha kwa ndege kwa upande mwingine ni ghali ila bidhaa zinafika haraka na kuna restrictions kibao.
Kwa mtu aneanza biz na hana mtaji anataka kukuza haraka namshauri aanze na ndege, ila jiandae kisaikolojia.
โค Matapeli ni wengi hata laki 5 wanaitolea macho unaweza tapeliwa na usiwe na cha kufanya.
Hakikisha kila unaempa hela yako ana link na mtu unamjua haswa kama ni service ama product ya kusubiri. Hasa wale mnaotaka ajira, permits, Visa nk kuwa makini kila mtu muone tapeli kama humjui.
โค Ukinunua bidhaa chukua invoice na receipt na uitunze. Mimi nina kila risiti ya bidhaa nimenunua. Inakusaidia vingi, haswa ukitaka kurudisha mzigo una shida ama haupo kama ulivokua described.
โค Facebook bado ndo marketplace kubwa sana Duniani. Nimenunua bidhaa nyingi sana Facebook marketplace, kwenye magroup ya facebook. Na unakuta ni kali sana hata ukiwa bongo unaweza nunua na ikafika.
โ ๐ฒ๐พ๐จ๐ต๐ฐ๐ต๐ฐ ๐ผ๐ฌ๐ต๐ซ๐ฌ ๐ฒ๐พ๐จ๐ต๐๐จ ๐ซ๐ผ๐ฉ๐จ๐ฐ ๐ต๐จ ๐บ๐ฐ๐ถ ๐ช๐ฏ๐ฐ๐ต๐จ.แฃ
โ Logistics: Hasa ndege Dubai kuna muda siku moja tu mzigo umefika kwa ndege, China ni kamzozo sana mzigo kusafirishwa. Pia kama unarudisha mzigo ni chaap almost kila siku ndege zipo. China ni kaprocess.
โ Jamii na Mazingira: UAE ni moja ya nchi ina waTanzania wengi sana unafeel uko nyumbani tu sometimes. Misosi, vibe na wana kibao inafanya usijihisi mpweke, na Dubai ni ndogo tofauti na China.
โ Urahisi wa Vibali: Urahisi wa kupata residency permit. Inachukua mwezi ama weeks kadhaa tu una permit yako kama huna HIV, TB, wewe sio mhalifu. Kuna permits tofauti na gharama kila moja ina cost yake.
โ Uhuru: Binafsi miezi nne sijawahi kuja kugongewa na polisi ghetto ama kushikwa bila mpango. As long as documents zako ziko sawa basi hakuna mtu atakusumbua hata ukishikwa utaulizwa maswali tu ya kawaida na kuachiwa.
โ ๐พ๐ฌ๐ฉ๐บ๐ฐ๐ป๐ฌ๐บ ๐ต๐ฐ๐ด๐ฌ๐ต๐ผ๐ต๐ผ๐จ ๐ฝ๐๐๐ ๐ฉ๐๐๐๐๐๐ (๐ซ๐ผ๐ฉ๐จ๐ฐ ๐ถ๐ต๐ณ๐ฐ๐ต๐ฌ)
โค Amazon UAE โ https://t.co/BL7U01VgnQ
โค Noon โ https://t.co/yAMgjSFTHX
โค Namshi โ https://t.co/XRa317IEI8
โค Ounass โ https://t.co/28jPReWWmA
โค Sharaf DG โ https://t.co/HROb9LYdF4
โค Carrefour UAEโhttps://t.co/ldU14Zwm9p
โค Dubizzle โ https://t.co/wEP8bvuuij
โค Facebook Marketplace
#GabyLovesDubai #MadiniYaGaby
Biashara ya Shule inahitaji wataalam wa Marketing wawe sehemu ya staff.
Nimekuwa Business Consultant wa Shule moja jijini Dar, tangu nipate KIBALI kwa mkurugenzi wa hiyo Shule, ndani ya Miezi 4 matokeo yameanza kuonekana.
Tumedeal na:-
1. Positioning
2. Branding
3. Operation
๐๐พ