@NCHIYANGUT Kwanini umtaje sadake wa taifa wakat yeye hayupo ndani ya serikal yako ?, serikal imewajibika kwa kiwango gan au imewajibikaje kuwachukulia hatua walio mpelekea mange SIRI HIZO,?
@Dr_DGwajima Mh ,kuna haja ya kuangalia hizo fine, tuachane na hizo fungana fungana sijui miaka 7 miaka 20 iwe ni fain kwenye fain hiyo anufaike na muathirika
@frediejustine@LuhagaMpina Halaumiwi mtu kuhama chama kinacho laumiwa ni kupoteza nguvu unaomba cheo kwenye cha leo unachaguliwa halafu siku chache unahama ulikuwa unawajaribu
@hancymachemba Nahakuna mtu huyo alie wahi kusema hivyo, ila kwenye maendeleo kuna viwango sasa hatuna viwango hivyo, kilicho fanyika ni kama maisha ya kawaida ya mtanganyika hajajenga kapanga atakula watoto wataenda shule huyo bado anaitwa maendeleo hana,
@ExMayorUbungo Bon nimecoment hapa nikiwa na maugal kwenye mkono,mbowe baada ya kushindwa uchaguz kwanini asiungane kukipigania chama kama wanavyo fanya wengine ambao hawana vyeo ,? Inamana hao wengine hawana biashara mpaka wafie chama? Hatujaona kukemea lolote ovu au mpaka awe na cheo?