Wakali mnene Munisi kafikisha wafuasi laki mbili na sio chawa wala nini yeye anapiga business zake bila kuumiza maisha ya wengine kifupi huyu sio chawa.
Naombeni retweet za kutosha nidake hilo tambo nikae rada si mnajua dunia ipo kiganjani.
@NjiwaFLow
System inataka uwe na cheti,
Soko linataka uwe na ujuzi,
Familia inataka uajiriwe,
Alafu wewe mwenyewe unatamani kujiajiri.
Ukizingatia na umesoma na hauna ajira