💨 Yawezekana unataka kununua simu used au umetoka kurekebisha simu yako kwa Fundi
Je utajuaje kuwa hiyo simu haina matatizo yeyote kwenye hardware system zake?
Leo nataka nikuelekeze namna ya kutest kuwa kila feature ya simu yako kama haina shida kwenye hardware....👇🏾
@msangijeff Hili dishi limeyumba kabisa, mnayatoa wap mafala kama haya na mnayapa airtime yaan kiufupi yeye na host wake pamoja na hiyo radio mafala tu 😬😬