Argentina wamefika finally Ki Mungu Mungu sana,perhaps it was destiny. if Spain hawato capitalize their dominance & chances, there might be a heartbreak on the way.
Just sayingβ¦
@killo_killo11 Kabla ya kuondoka simba alikua anakaa bench. Ujio wa Madjavi na baadae Tadeo Luanga ulimuondoa first 11. Simba hawajahangaika hata kidogo
@singidabssc Daah dogo anabahati sana. Kwa watu makini he is not good enough. Numbers can lie sometimes. I hve been watchin his game. He is not up that level. Goodluck, though
Mimi kilichoniuma ni kuona tofauti y point hizo mbili Yanga mbovu lizopata zilipitia kwa figisu za maref na sio uwanjni. Hii ni ishara yng inaweza kua mbovu n ikawa bingwa. Ndo maan kimataifa hua haendi popote.
@tagatojtagato Fadlu kaweka Sharti lake. Lazima Mussa Balla Conte X factor wake aliyemtaka kiwaba Simba na Raja arudishwe Jangwani. Pia Nabi Kamara avuke barabar ya msimbazi aelekee Twiga na Jangwani