Kama upo kwenye twenties jua upo kwenye the best year of your life. Iyo age, energy ni mingi, brain iko active, so ukiwa smart enough na ukaamua kuwekeza kwenye kujifunza solid skills (at least 3 skills), by the time unagusa 30 ni ngumu life lije likutese. Acha michezo mdogo angu