"Penye imani, wajibu na kujali kunaleta kushirikiana na kujenga umoja wa kijamii na ndicho kilichotokea Mwezi Mtukufu wote tulikua wamoja, tukila pamoja tukiomba na yote ambayo tuliyafanya katika mwezi mtukufu."- Rais Samia Suluhu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Eid El-Fitr katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam , leo tarehe 31 Machi, 2025.
Mbunge Saashisha Mafuwe amesema kuwa maisha ya Mwalimu Benson Lema yamefanyika baraka kwa jamii yake na kwamba ni wazee wachache wanaopenda jamii yao kwa dhati kwani katibu huyo alikuwa mwadilifu wa kweli na mtu asiyependa mzaa hasa katika utendaji wake wa kazi.
Mbunge Saashisha Mafuwe amesema kuwa Mwal. Benson Lema alikuwa kiungo mkubwa katika jamii na moja ya mtu aliyependa kujishusha na kuwa mfano wa kuigwa katika kila nafasi aliyotumika huku akimwelezea kama nguzo ya mtu aliyesimama katika mstari bora wa maadili na uongozi.
Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu wake na mwalimu mstaafu Benson Lema aliyeaga dunia 2/1/2024 Hospitali ya Machame huku wakimzungumzia kama mpenda maendeleo na mtu aliyejitoa katika jamii.
Rais Samia Suluhu Hassan aeleza hatua zilizochukuliwa na Serikali yake katika kurahisisha maisha ya wachimbaji wadogo wanawake.
#AzamTVUpdates
(Imeandaliwa na Anoth Paul na Kuhaririwa na John Mbalamwezi)
yanayotuzunguka kila siku.
Tukiruhusu watu kutuvuruga kimwili, kiakili, kihisia, au kifedha basi wataendelea kufanya hivyo daima…
Tunatakiwa kuamua kuruka nje ya maji.
Tunatakiwa kuruka kabla maji hayajachemka sana.
na joto la maji…
Hivyo hatimaye chura atakufa.
Nini kimemuua chura?
Wengi mtasema kauawa na maji ya moto…
Lakini ukweli ni kuwa kilichomuua chura ni kukosa uwezo wa kuamua mapema kuruka nje ya maji.
FUNZO:
Lazima tujifunze jinsi ya kubadilika kulingana na watu na matatizo
Maji yatakapochemka sana (yakifikia boiling point), chura hataweza tena kuongeza joto lake ili liendane na la maji hivyo ataamua kuruka nje.
Chura atajaribu kuruka lakini hatoweza, kwa kuwa atakuwa amepoteza nguvu nyingi wakati akibadili joto la mwili wake pale awali ili kuendana
Nimeikuta sehemu.
Nairudia tena hapa
Ukimweka chura kwenye maji na ukaanza kuyachemsha maji, kadri joto la maji linavyozidi mwili wa chura utakuwa unajibadili joto lake pia kuendana na lile la maji.Chura ataendelea kuongeza joto la mwili wake kadri maji yanavyozidi kuchemka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye alikuwa na shauku kubwa ya kumuona Mhe. Rais Samia. Pichani mtoto huyo akiwa haamini macho yake
Wadau watakiwa kuungana na kushikamana kwa pamoja ili kutokomeza Migogoro ya Ardhi ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa ikisababisha uvunjifu wa amani na ukiukwaji wa Haki za Binadamu, Utawala Bora na wa Kisheria nchini huku waathirika wakubwa wakiwa ni wanawake na watoto.
Ni Kufuatia mjadala uliokutanisha Asasi za Kiraia, Wanaharakati wa Haki za Binadamu,Umma wa Watanzania na Wanawake, kupitia mtandao wa Zoom Meeting, hususani Mgogoro wa Ngorongoro na Loliondo ulioandaliwa na Shirika la Civic and Legal Aid Organization (CILAO)
Wadau watakiwa kuungana na kushikamana kwa pamoja ili kutokomeza Migogoro ya Ardhi ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa ikisababisha uvunjifu wa amani na ukiukwaji wa Haki za Binadamu, Utawala Bora na wa Kisheria nchini huku waathirika wakubwa wakiwa ni wanawake na watoto.