@berryk_outfits@Labella_Mafia95 Mchezaji Mpya Wa Manchester United Woman, Anatokea Ghana, Huyo Ndio Star Kwa Wanawake Africa Sasa, Uncle Bata Anasuburi
@Mbwana82 Hahaha Sasa GSM A Vs GSM B Kuna Nini? Msimu Uliopita Hakuna Hata Mmoja Alipata Hata Point Kwa Mdhamin Mkuu😂😂😂😂😂
Utani Tu Lakin, Tena Utani Wa Jadi
@Mkuruzenzi Nakushauri Anagalia Vizur Nembo Ya MdhamininWa Timu Pinzani. Hizo Timu Zote Zinazozaminiwa Na ..... Moja Ligi Iliyopita Hakuna Hata Timu Moja Ilipata Draw Kwa Mdhamin Mkubwa, Utani Tu Lakini. Hahahaha