@MariaSTsehai Polisi wanalipwa posho wakawapige watu wanaoabudu kweli. Wanadamu tuna viburi cha uhai na afya. Hii mbaya sana hizo posho zitawatokea puani. π€
@MwananchiNews Alafu anajitokeza mtu analeta udini. Wakati aliyepata kadhia ni muislam. Eti kiongozi anakosolewa kisa muislam. Siku wakristo tukiamua kunyamaza waislam ndo mtataabika mpaka basi. Mungu hutumia watu wake kukomboa inchi nzima bila kujali dini.
@siadevinci Tumefundishwa na ni mwiko kubishana au kuweka hoja na mwanamke mpaka kwenye maandiko. Kaa kwa kutulia we dada sia. Vita vya ukraine vimekushinda umekuja huku