@HCassian51366@Max991719@Sativa255 Mwalimu wako wa uandishi alizidisha kukufundisha alama za uandishi. Matumizi ungesema "bro hakuna mtu anaependa mafanikio ya mtu,utapigwa sumu ufe."
@DrMbowa@JoshuJM@rollymsouth Sasa wewe @DrMbowa mbona unakua mjinga kiasi hiki, una kili kwamba mamlaka ilishatangaza hakuna mtu kwenda mahakami Alafu wakati huo unasema wameitwa watu mahakamani hawafiki ata mia, hao mia ulitaka wafikaje wakati mamlaka imekataza? Wewe ni shoga au?
@Yassir44521051@Mperuzi@lifeofmshaba Wew ndo unataka usababishe mfarakano, wao wametoa waraka kwa niaba ya wakatoliki wote na si vingnevyo,, au walikwambia ule waraka ni kwa niaba ya Wakristo wote? Au uliambiwa waraka ule ni kwa niaba ya watanzania wote, au uliambiwa ni kwa niaba ya dini zote?