@mananajr_ Mkuu
Kila kitu au mtu kina uwezo wake wa kumiliki. Hizi Gari hazina magonjwa ila ni mimi tu sina hela ya kuihudumia. Ila ni Gari nzuri na watu wanazitumia
@BalozkemboK@emabilly2001 Kiufupi hawa wengine hawaangalii tu elimu ili wakupe Nyota yao bali utendaji kazi wako. Piga kazi, onyesha akili yako inaweza kufanya kazi za kijeshi na kazi zao then watakupeleka Kozi. Hawajupi tu sababu una elimu na ndio maana Nyota 1 ya Polisi unaweza mkuta ana authority kubwa
@Eddie_bojobojo@emabilly2001 Nyota 1 ya Polisi ni miaka 6 mpaka 8โฆukiajiriwa na Degree means ukae miaka 3 au 4 uende Sgt kwanza then ukirudi ndio uhudumu kwa muda usipungua miaka 3 then uende Nyota 1
@PinguRahim@Samskills_tz Mimi si Fundi ila ni Mtumizi wa Magari na nilijibuwa kwann MAJI YAKITOKA KIDOGO ASUBUHI AU GARI IKIWA HAIJAPATA JOTO NI KUONYESHA JIKO LIKO VIZURI ni 1. Mafuta yanachomwa vizuri, 2. Engine sio chafu kwahyo ukiizima na kupata unyevu ndio ile hutoka kama maji kidogo ukiiwasha
@cindaramadhan@Samskills_tz Mimi si Fundi ila ni Mtumizi wa Magari na nilijibuwa kwann MAJI YAKITOKA KIDOGO ASUBUHI AU GARI IKIWA HAIJAPATA JOTO NI KUONYESHA JIKO LIKO VIZURI ni 1. Mafuta yanachomwa vizuri, 2. Engine sio chafu kwahyo ukiizima na kupata unyevu ndio ile hutoka kama maji kidogo ukiiwasha.
@MosesMayala2@Ndomba_9@LeftWriter_ Wenye uelewa wa Sheria ni wachache sana ndugu yangu.๐ usipoteze nguvu zako kujibu watu. Sasa we umeona umeleta hoja na mtu anakujibu ungejua maana ya MP๐๐ na bado unamuelezea ili aelewe nn? Ila sisi Watanzania๐๐พ