@Thommunkondya@gabyconscious Mchimbaji n kama mkulima. Mnufaika wa zile pesa n watu walio kwenye supply chain. Wauzaji wa vifaa, chemicals, watu wa maabara za kupima sampuli za madini. Ila mtu anae miliki miduara n kama mkulima tu risk kibao na uncertainties lukuki
@Thommunkondya Ukiona Kila kitu na hakuna move tunapiga jua uongozi shida, sera mbovu hatuwez kuvutia foreign direct investments. Hakuna tax relief kwa start ups. Na urasimu wa kwenda